House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA (APARTMENT MBILI TU NDANI YA FENSI).
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO LENYE KABATI. NNJE KUNA JIKO LENGINE NA SEHEMU YA KUFULIA NA KALO LA KUOSHA VYOMBO, NYUMBA IKO NDANI YA FENSI.
MITA YA UMEME INAJITEGEMEA NA MAJI YAPO DAWASA YANATOKA NDANI TENKI WANASHEA WAWILI TU.
LOCATION: PUGU KWA RAIS
KODI 100000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT 0614130017 0788156493 0760053111