House/Apartment for Rent at Salama, Mara
KARIBU UWISHI SEHEMU NZURI NA SALAMA
FULL ULINZI 24HRS WAHI 🏃♂️🏃💰✍️
#APARTMENT YA #KIBACHELA KALII SANA INAPANGISHWA #KIMARA_MWISHO KM 2 AU BAJAJI AU BODA, PIA UNAWEZA PITIA STOP OVER.
__
SEBULE KUBWA
CHUMBA KIMJA KIKUBWA MASTER
FULL A/c
FULL PAVING BLOCKS
MAJI NA UMEME LUKU YAKO
CCTV CAMERA
SEHEMU KUBWA YA PARKING
HEATER YA MAJI
BEMBEA YA WATOTO
JIKO LA NGUVU SANA
BARCON
MAZINGIRA MATAMU SANA
__
KODI 300,000/= × 6 (mteja aje na miezi kamili 6)
DALALI HELA YA MWEZI 1 UKILIPIA
KUONESHWA SITE 15000/=
__
NYUMBA IPO WAZI
CONTACT
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp