House/Apartment for Rent at Sinza, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM
#SEBULE NZURI
#JIKO ZURI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 450,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 TUU
💫💫 APARTMENT HII IPO SINZA VATICAN JIRANI KABISA NA BARABARA KUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT
0742260844
0657384670