House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







IPO WAZI TAYARI NJOO ULIPIE NA KUAMIA
.
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
.
LOCATION:TABATA BONYOKWA STENDI ZINAPOISHIA DALADALA ZA KUTOKA MJIN K.KOO MNANI MMOJA KUPITIA TABATA SEGEREA
KODI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA SEBULE NA CHOO NDANI
INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO
LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW CHOON VIZUR SANA
IPO NDAN YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
UMBALI NI DK 6 TU KWA MIGUU KUTOKA HAPA STEND YA BONYOKWA
SERVICHAJ ELIFU 10
CONTACT
0742260844
0657384670
0788296797