House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 230000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
========≠=≠==
Hapa Kuna Chumba na Sebule Kubwa
Jiko Kubwa
Luku Sub mita yake
Maji Dawasa ndani
Parking space ipo Kwa Pembeni Gate fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Mazingira tulivu
Piga sm Kwa Maelezo zaidi
###0655256419
###0760830706