House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent
Location Ubungo Riverside Kibangu Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Unapiga teke Mlango
Kodi 120000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
=========≠====
Chumba Master Bedroom Kubwa sana
Choo ndani Kizuri
Luku Sub mita yake wa 2
Maji Dawasa ndani mita yake
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sm
0712500602
0755336565
Good environment