House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa Mpyaa
Location Ubungo Makoka Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Unapiga teke Gate
Kodi 150000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
===============
Ni Master Bedroom Kubwa
Choo ndani Kizuri
Luku wa 3
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
0712500602
0755336565