House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KUPANGISHA UBUNGO EXTERNAL dk3
Location:: ubungo external gari ya chi ni rafiki
Umbali dakika 3 kwa mguu
SIFA ZAKE
-chumba
- Sebule mastet
- jiko kabati zinawekwa
Parking ipo
Umeme LUKU inajitegemea
Dawasa inajitegemea
na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Apartment zipo tatu Ndani ya fence Parking Ipo
Fedha ya dhamana tsh 400000
KODI YAKE Tsh. 400,000/= Malipo Miezi Sita
Service Charge 15,000/-
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.