House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa Kali Executive
Location Ubungo Makoka Usafiri ni Bajaji na Boda Pia Unaweza Kupitia Kimara Korogwe Sehemu zote ufika Kirahisi
Kodi 200000ร6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Ni Master Bedroom Kubwa
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy sio ya Kulala Gari
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0716223412
0618976024