House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 4, 5. 6
.
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
.
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN BRBR NI RAFIKI KABISA KWA GARI YA AINA YOYOTE
.
APARTMENT INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO IPO NDANI YA FENCE PARKING IPO INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
.
UMBALI NI KM 2 KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE
.
SERVICHAJ ELFU 10
CONTACT
0677445508