House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
KODI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
SIFA ZAKE
========
CHUMBA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA
TILLES & GYPSUM
ALUMINIUM
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
MAZINGIRA MAZUR
NA TULIVU
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW CHOONI
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0716223412
0618976024