House/Apartment for sale at Ghana, Mbeya
GHANA ( ROCK CITY MALL ) NYUMA YA SHELI YA OLYMPIC NYUMBA INAUZWA
-Zipo Nyumba mbili (2) za wapangaji zote zina wapangaji
-ukubwa wa kiwanja ni 25x20 =500 SQM
-ina hati miliki mkononi
-bei Milioni 150
NB:-
-Location nzuri ya biashara i.e Apartment
☎️ 0743220097