House/Apartment for sale at Madale, Dar Es Salaam
APARTMENTS MPYAAA ZINAUZWA,
Madale Atlas,
wapangaji wanne kwenye compound,
kila moja inajitegemea luku na maji dawasa,
muundo;
kila moja ni chumba kikubwa, choo na jiko, ziko 4,
makabati ya jikoni yameshatengenezwa,
kwa maelezo zaidi, piga 0745559598,
bei 125m, maongezi yapo
0745559598