1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


#REPOSTDALALIMBEZIBEACH_SEMBA
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
💧Location ::GOBA ROAD - NJIA PANDA MAKABE
💧Bei :: 450,000 Tsh Malipo miezi 3
NB: NYUMBA INAKUA WAZI TAREHE 13 MWEZI HUU
KUONA NA KULIPIA RUKSA
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja Masta
📍Sebule kubwa
📍Jiko zuri lenye makabati
📍Fence
📍Full AC
📍Maji, Ulinzi & Usafi Bure
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0718 759287
0685 006223
Call /Whatsapp