1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: KM 1.5 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
Ukishuka Tu Unapiga Geti Teke
PRICE: 350,000 × 6
✔️Sebule Kubwa Sana
✔️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✔️Kitchen With Cabinets
✔️Umeme Na Maji Meter Independent
✔️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Fenced
✔️Full Paving Blocks 🚫
✔️Parking Space Kubwa 🚘
✔️Good Environment 👍
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp