1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Umbali wa Kilomita 1.3 Kutoka Main Road Kituo chaMwendokasi Korogwe, Usafiri Bajaj 500 na Boda 1000
O677370515
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Dining
โข Chumba Kimoja Cha Kulala Master Bedroom
โข Jiko Zuri
โข Public Toilet
Apartment zipo ndani Fensi Parking ipo na kila Apartment Inajitegemea Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 350,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo