1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI INAPANGISHWA IPO WAZI
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE/UBUNGO KIBANGU KOTE NJIA KM 1.5
BAJAJI 700 & PIKPK 1000
-CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
-JIKO KUBWA
#STORE KUBWA
-UMEME UNAJITEGEMEA
-MAJI UNAJITEGEMEA
-RESERVE TANK
-ULINZI WA KUTOSHA
-PARKING IPO
-FULL MAFENI
KODI NI 180,000 KWA MWEZI ILIPWE MIEZI 5 KUENDELEA
HII NYUMBA UNA NJIA MBILI KIMARA KOROGWE KILUNGULE AU UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp