1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿APARTMENT MPYA INAPANGISHWA#
📍Kimara Bucha
🕝Umbali wa kutoka stand ya mwendo kasi km 1 usafili boda 1000 kwa mguu dakika 15 Tu
🏠SIFAZAKE
🔸Chumba, Kimoja master Kizuri
🔸 Jiko nzuri
🔸Umeme luku submiter
🔸Maji yanaflow ndani
🔸Fenced &Car Parking kubwa sana
🔸Mazingira Tulivu Sana no uswahili hap
👉Hii inakuwa imekamilika Tar15/06/2025 malipo yanapokelewa
🔹Kodi Tsh 150,000/=x6 (Miezi Sita)
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
WSP 0752436347