1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







0679 997610
๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara korogwe
๐ Umbali Kutoka stand ya Mwendokasi, kwa mguu dakika 10_15 bodaboda 1000 Mpaka getini
๐ก#SIFAZAKE
๐นChumba Kimoja kikubwa kizuri sana
๐นChoo mna share wawili Tu ndani
๐นUmeme Sub-Meter
๐นMaji yanafrow chooni
๐นFanced & Packing car kubwa
๐No uswahili hapa mazingira mazuri san
๐ถKodi Tsh 120,000/=ร6 (Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali Tsh 120,000/=
๐ถService Charge Tsh 15,000/=
__________
Mawasiliano
Wsp
0679 997610
0747997630
Msigwa