1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 APARTMENT #INAPANGISHWA
📍kimara korogwe
🕑Dakika 10-12 Kutembea kutoka kituo cha Mwendokasi
🔹SIFAZAKE
🔹Chumba, Kimoja master Kizuri
🔹Na baraza yake
🔹Umeme luku wanashare 3 kila mmoja 🔹ana submiter
🔹Maji yanaflow ndani
🔹Fenced yake hailazi gari
👉Mazingira Tulivu Sana
📌 Hii inakuwa wazi Tarehe 08/10/2024 kuona ndani na kufanya malipo luksa kabisa ndugu mteja
🔸Kodi Tsh 130,000/=x6 (Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali Tsh 130,000/=
🔸Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_📞simu
#.&0627977383 Whatsap
#please #Follow us 🙏
Karibu Sana Mteja😊