1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA STOP OVER
Distance: Dakika 14 Kwa Kutembea Tu 🚶🚶
Usafiri 24Hours Boda 1000 Mpaka Getini
KODI 250,000 × 6
✔️SEBULE KUBWA
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
✔️NO KITCHEN
✔️HEATER YA MAJI MOTO Na BARIDI
✔️SEHEMU YA KUOSHEA VYOMBO AMBAYO NI YAKO WEWE TU.
✔️TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
✔️MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
✔️RESERVE TANK
✔️NDANI YA FENCE
✔️PARKING SPACE KUBWA SANA 🚗
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp