1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍kimara korogwe kilungule
🕑km 1 kutoka standi ya mwendo kasi usafili bajaji 500 ukishuka dakika 4 Tu upo ndani Boda boda 1000 mpaka getini kwako
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master cha wastani
🔹Sebule
🔹Hakuna jiko ❌
🔹Umeme luku submiter 2 inafungwa
🔹Maji yanaflow ndani masaa 24
🔹Fenced & Parking Car kubwa
👉Hiii ipo wazi kwa kuingia
🔶Kodi Tsh 160,000/=×(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali roony Tsh 160, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊
###0655256419