1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/05/2025
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA KIMOJA
#CHOO CHA NDANI
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI SOMA KWA MAKINI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA NYUMBA ITABAKI NA MADIRISHA YA KAWAIDA ILA 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA UTAWEKEWA ALUMINUM SLAIDING WINDOW
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347