1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO 4 MOJA NDIO IPO WAZI KODI 200,000X6
LOCTION KIMARA TEMBONI KM 2 USAFIRI BAJAJI 700
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBUL
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET NDANI 🚻
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENCE
#PARKING SPACE KUBWA
📌INAKUWA WAZI 22/01/2025..
MAPEMA SANA WAHI...