1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT
KODI 200,000 × 6
✔️SEBURE KUBWA SANA
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
✔️UMEME METER YAKO
✔️MAJI DAWASA METER YAKO
✔️YANAFLOW CHOONI 24HRS
✔️RESERVE TANK
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
Usafiri 24Hours BAJAJI 500, Boda 1000
KUMBUK: NYUMBA HII IPO KWENYE FENCE, LAKINI SIO FENCE YA KULAZA GARI, NA USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA
NOTE: INAYOPANGISHWA NI YA CHINI,, GROUND FLOOR
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp