1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI KODI 200,000X6
LOCATION KIMARA BUCHA DK 6-7 KUTEMBEA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347