1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿#APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Bucha, Dakika 10-12 Kutembea toka Morogoro Main Road.
#SIFAZAKE
💧Chumba kimoja master
💧Sebule
💧Jiko
💧Umeme Luku wawili, na Inasub-Metee yake, Maji Yanaflow ndani
💧Haina Fensi ila usalama ni Mkubwa
📌Hii Inakuwa Wazi Kuanzia Tar 15/11/2024 kuiona na Kulipia Ruksa
♦️Kodi Tsh 250,000/=×6( Miezi Sita)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 250,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=.
👉Kuhusu Kodi Inaweza Kuongeleka kidogo
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊