1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #MPYAA #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe, Dar es Salaam
🕑Dakika 7 Kutembea Toka Main Road Mpaka Hapo.
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master kikubwa
🔹Jiko zuri kubwa
🔹Umeme Sub-Meter yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fence & Car Parking ipo
👉Hii Inakuwa Tayari Kuhamia Tar 30/09/2024 Kuiona na Kulipia Ruksa
♦️Kodi Tsh 200,000/=×6(Miezi Sita)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 200,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊