1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Zipo 4 Kwenye Fence
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: KM 1.5 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 500 Ukishuka Dk 3 🚶🚶
KODI 300,000 × 6
⚡️Sebule Kubwa
⚡️Chumba Kimoja Kikubwa Master
⚡️Jiko Kubwa Zuri
⚡️Public Toilet Nzuri Ipo Nje 🚻
⚡️Inajitegemea UMEME Na MAJI
⚡️Maji Yanaflow Ndani 24HRS
⚡️Reserve TANK
⚡️Parking IPO 🚘
⚡️Good Environment 👍
Barabara Ni Nzuri Kwa Aina Zote Za Magari 🚗
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp