1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT
Location: KIMARA KOROGWE
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
🥕SEBULE KUBWA
🥕CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
🥕JIKO KUBWA ZURI
🥕PUBLIC TOILET NZURI IPO NDANI
🥕INAJITEGEMEA UMEME
🥕MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI 24HRS
NYUMBA NI MPYA KABISA INA
🥕FULL AIR CONDITION
🥕PARKING YA KUTOSHA 🚗
KODI 400,000 × 6
SERVICE CHARGE 15,000
UKIPENDA NYUMBA UTALIPA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
📌ITAKUWA TAYARI 01/02/2025
📌KUONA NYUMBA Na KULIPIA RUKSA BOSS 💰✍️
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp