1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 250k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA SUKA
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 15
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Chumba Kimoja Cha Kulala Master Bedroom
• Jiko/Open Kitchen
• Choo Kizuri Ndani
Apartment zipo 4 ndani ya Fensi Parking ipo Mazingira Mazuri na Kila Apartment Inajitegemea Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 250,000 Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 Whatsapp