1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach (Afrikana, Upande Wa Chini) , Dar-Es-Salaam ,Tanzania
Ni
✅️ Apartment
✅️ Chumba Kimoja Cha Kulala na Sebule
Bei : 250,000 Tsh Kwa Mwezi
Karibu Tuwasiliane : Kupiga / Whatsapp
0768-753468
0784-397369
#sarumborealestate #daressalaam #mbezibeach #mbezichini #chumbanasebule