1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
๐งLocation :: MBEZI MWISHO - KARIBU KABISA NA LAMI
๐งBei :: 330,000Tsh Miezi 6
Muundo wa Nyumba;
๐Chumba Kimoja Masta
๐Sebule kubwa
๐Choo cha Public
๐Jiko lenye makabati
๐Fence
๐AC chumbani
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
Call /Whatsapp
0745559598