1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI ZIPO 2 TU KWA FENCE
INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA KARIBU SANA NA STEND BARABARA
SIFA ZAKE
CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
SEBULE
JIKO
CHOO CHA NDANI
UMEME UNAJITEGEMEA
MAJI PIA DAWASA YANAFLOW NDANI
BEI NI 170,000/=×5,
NYUMBA IPO UMBALI WA DAKIKA 7 KWA MGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI NA PARKING HAKUNA
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
SIMU
0712656027