1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







Apartment nzuri sana inapangishwa MBEZI KIBANDA CHA MKAA
*INAKUA* wazi 10/04/2025 NITAKURUHUSU UONE NA KULIPIA
KODI 350,0000 × 6
Ina vyumba viwilli vya kulala
Chumba kimoja master
Sebule kubwa
Jiko zuri la kisasa
Public toilet
Maji yanaflow chooni na jikoni
Luku Inajitegemea
#NB: CAUTION MONEY 100,000 YA KULINDA NYUMBA INALIPWA SAMBAMBA NA KODI
Ipo km 1 kutoka MOROGORO ROAD
BAJAJI 500
BODABODA 1000
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
SIMU
0712656027