1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Apartment for rent
Lacation Tabata bima
Dakika 5 Man roud
Price -250000
Malipo nikwa miezi sita
Service charge ni elfu ishirini
Bila kusahau mwezi mmoja wa dalali
Sifa zake nyumba iyo
1 bedroom
No master
Pablick toilet inside
Kitchen
Maji yana floo
Luku independent
Tairz gypsam
Madirisha yanapachikwa kioo
Pia inapigwa na ranngi upya
Gari ina lala ndan ya fensi
Ndugu mteja wangu zingatia maelezo
Karibuni sana