1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


(APARTMENTS 4) NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA ZIPO TABATA KINYEREZI MBUYUNI DAR ES SALAAM HIZI NYUMBA ZINATAZAMA LAMI
HAPA PANA BEI TOFAUTI MTEJA SOMA MAKINI
(1)CHUMBA MASTER, SEBULE,
JIKO LENYE MAKABATI, PEVING BLOCK, PARKING ๐, UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA, PUBLIC TOILET YA NJE NA STORE, BEI SH 300000 KODI KUANZIA MIEZI 6
(2) CHUMBA MASTER INAPANGISHWA SH 120000 KWA MWEZI KODI KUANZIA MIEZI 6, UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
0688 412 890.