1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







NEW Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 4 Kwenye Fence
Location: UBUNGO EXTERNAL
JIRANI NA BARABARANI
Umbali Wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 3 Kutoka Main Road 🚶🚶
KODI 400,000 × 6
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Chumba Kimoja Kikubwa
✅️Jiko la Kisasa LINAWEKWA MAKABATI
✅️Public Toilet Nzuri Ipo Ndani 🚻
✅️Heater Ya MAJI MOTO
✅️Electrical Fence
✅️Inajitegemea Umeme Na Maji
✅️Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✅️Reserve TANK
✅️Parking Space Available 🚘
✅️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
#NOTE: Nyumba Ni MPYAA IPO Mwishoni Kukamilika Bado VITU Vichache ...
📌Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰✍️
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp