1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
:
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM NA JIKO (150k)
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO EXTERNAL NJIA YA JESHINI
*Chumba kimoja Kikubwa Master Bedroom
*Public Toilet
*Jiko la Kisasa
Apartment zipo 4 Kwenye Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
KODI 150,000 ร 6
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp