1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
Unaweza Ukapitia Korogwe Usafiri Bajaj 500 Barabara ni LAMI
Unaweza Ukapitia External Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
#Note Njia zote Barabara ni LAMI 👍
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba Kimoja Cha Kulala Kikubwa
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri Ndani
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo.
Kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 250,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0742260844
0657384680
Location: Ubungo, Dar Es Salaam, Tanzania