1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO MSEWE
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Umeme wa luku
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Parking
Kodi 210,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 4,5,6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.