1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Location: UBUNGO RIVERSIDE MAKOKA
SEBULE KUBWA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
JIKO KUBWA ZURI
KODI 170,000 ร 6
LUKU YAKO
USAFIRI BAJAJI 700
UKISHUKA DAKIKA 7 HADI KWENYE NYUMBA
MAJI MNASHARE....
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp