1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Nzuri INAPANGISHWA ✨️
Tembea Na Hela Boss
Location: UBUNGO MAKOKA
Distance: KM 1.5 Kutoka UBUNGO RIVERSIDE STAND
Usafiri 24Hours Bajaji 500 Ukishuka Unapiga Geti Teke
Price: 180,000 × 5/6
✔️Sebule Kubwa
✔️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✔️Tires,Gypsum Na Slide Windows
✔️Ndani Ya Fence
✔️Parking IPO KUBWA 🚗
✔️LUKU Yako
✔️MAJI Yanaflow Chooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp