1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 Tsh. 180k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO EXTERNAL JESHINI
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 1 Kutoka Kwenye Lami
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba Kimoja cha Kulala Master
• Jiko Kubwa
• Public Toilet ya Wageni
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking Haipo.
Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 180,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp