1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


🇹🇿#CLASSIC #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Ubungo Kibo, Dakika 6-7 Kutembea Toka Kituo Cha Mwendokasi.
#SIFAZAKE
Hii ina Chumba Kimoja Master, Sebule na Jiko
Umeme Luku yake & Majiyanaflow ndani
Iko ndani ya fensi na Parking nikubwa
Imefungwa AC & Heaters
Pana Mini market, mlinzi, mtu wa usafi wa nje na garden.
Kodi Tsh 450,000/=×3(Miezi Mitatu)
Malipo ya Dalali Tsh 450,000/=
Service Charge Tsh 15, 000/=
Note. Pesa ya Taadhari Tsh 450, 000/=(Unarudishiwa ukiwa unahama)
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊