1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


PUNGUZO LA BEI . APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA.
NI CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM INA MAKABATI NA SEBURE KUBWA NA JIKO ZURI LA KISASA.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKWAKO NA MAJI INAJITEGEMEA.
IPO NDANI YA FENCE PARKING IPO.
IPO UBUNGO KIBO DK 8 KWA MIGUU KUTOKA STEND MWENDOKASI .
BEI ( Tsh 300000 × 6.)
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
Simu 0757 404087