1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA KABISA INAPANGISHWA
KODI 300,000 × 4/5/6 YOTE INAPOKELEWA
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
DISTANCE: KM 2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 3 UMEFIKA
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 24HRS
#UMEME LUKU YAKO
#PARKING SPACE KUBWA
#PAVING BLOCK ZINAWEKWA 🚫
NB: NYUMBA INA VYUMBA VIKUBWA SANA VYA KUTOSHA NA BARAZA KUBWA YA KUPUMZIKIA
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp