4 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT KUBWA SANA INAPANGISHWA KIBAMBA KWA MANGI #550K
Vyumba 4 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa Dinning jiko na public toilet
NB: Inafaa pia Kwa Ofisi
Kodi 550,000 Kwa mwezi × 6
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
Umbali Dakika 2 Tu Kwa mguu
Pembeni kuna servant corter inampangaji
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167