4 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







——
Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Sanaa
Location Ubungo Kibo Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 700,000/=x6 Kwa Mwezi Dalali mwezi 1
Service Charge 20,000/=
Sifa za nyumba
=======≈======
Room 4 Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Bafu
Luku yake
Hita Maji moto na Baridi
A/C Chumbani Master Bedroom
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Garden nzuri
Apartment zipo 2 moja ndio ipo wazi
Good environment
0712528820
0685221354
Mr.



















