4 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
#Repost dalali_mshana_ubungo_kimara
——
Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Sanaa
Location Ubungo Kibo Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 700000x6 Kwa Mwezi Dalali mwezi 1 Service Charge 200,00 Kuona nyumba
Sifa za nyumba
=======≈======
Room 4 Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Bafu
Luku yake
Hita Maji moto na Baridi
A/C Chumbani Master Bedroom
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Garden nzuri
Apartment zipo 2 moja ndio itakuwa wazi mwenye nyumba Ana Hama mwenyewe Kwenda Arusha
Good environment
DALALI MAKINI UBUNGO RIVERSIDE
0712500602
0755336565